blog

Johann Michael Bach (Composer) - On This Day

published on
Profession: Composer Biography: Johann Michael Bach was a German composer of the Baroque period. He was the son of Heinrich Bach, the great uncle of Johann Sebastian Bach, the brother of Johann Christoph Bach, and the first cousin, once removed, and father-in-law of Johann Sebastian Bach, as he was the father of J.S. Bach's first wife, Maria Barbara Bach. In 1673, Johann Michael became the organist and town clerk of Gehren, where he lived until his death. Read More...

Karatasi za kupigia kura za urais kuwasili nchini Jumatatu

published on
- Kampuni iliyochapisha karatasi za kupigia kura za urais imesema kuwa karatasi hizo ziko tayari -Uchapishaji huo unasemekana kukamilika usiku wa Alhamisi Julai 27 - Haya yanajiri ikiwa imesalia siku 10 uchaguzi mkuu ufanyike - Uchapishaji wa karatasi hizo ulikuwa umekumbwa na sarakasi kadhaa huku muungano wa NASA ukidai kuwa Jubilee ilikuwa na uhusiano wa karibu na kampuni iliyochapisha Karatasi za kupigia kura za urais zinatarajiwa kufika nchini Jumatatu Julai 31, huku ikiwa imesalia juma moja tu uchaguzi mkuu ufanyike. Read More...

Nakuru: Afueni baada ya gavana kutangaza saluni na vinyozi kufunguliwa

published on
- Saluni na vinyozi sasa zitafunguliwa baada ya agizo kutoka wizara ya afya kuhusu kuzuia maambukizi ya corona - Wahudumu wameruhusiwa kurudi kazini lakini wazingatie masharti yaliyowekwa - Wateja na wahudumu watatakiwa kuvalia barakoa kila wakati wanapoendelea na shughuli zao Gavana wa Nakuru Lee Kinyanjui ametangaza kuwa biashara za saluni na vinyozi sasa zitafunguliwa baada ya kufungwa kwa wiki mbili. Kinyanjui alisema biashara hizo zitakubaliwa baada ya wizara ya Afya kutoa matakwa watakayofuata wahudumu kwenye sekta hiyo. Read More...